January 14, 2013


TASWIRA YA PICHA KUTOKA UFUKWE WA ZIWA VICTORIA

Kazi ya kuvua samaki ufukweni mwa maji ya Ziwa (maji baridi/yasiyo na chumvi) ikiendelea kama vijana hawa walivyokutwa wakitafuta vitoweo hivyo ufukweni mwa ziwa Victoria Mkoani Mwanza.
Bado anajaribu mawindo yake kwa umakini kabisa.....................
Huyu ndiye mvuvi wa kesho.

Mvuvi na samaki wake mkononi.
Wavuvi  mahiri wa kesho  na mazao yao ufukweni.
Wavuvi wakitoka kwenye shughuli za uvuvi ziwa katika ziwa Victoria karibu na Magu mjini mkoani Mwanza.
Mitumbwi ufukweni.
Fuata nyayo lakini chunguza kuwa ni za mnyama gani.
Leo ni 2013 !!!!!!!!!!!!!!!!