Wapiganaji juu na chini katika [icha hizi, wakihangaika na maisha ya uvuvi kutafuta riziki ndani ya bahari ya hindi umbali kidogo kutoka hotel ya kunduchi
kisiwa cha mbudya kinavyoonekana ukiwa umbali fulani kabla ya kukifikia
msitu huu wa kuvutia
Boti ikiwa imetiwa nanga kando ya kisiwa hicho
Wavuvi wakiwa ndani ya mashua hii kama walivyoonekana kwa mapozi yaoMandhali ya vijumba vya asili na kitalii vikionekana kuvutia
Hapa nakutana na wadau wakiwa na samaki huyu jamii ya star fish
Msitu wa kutosha uko huku ingawa muonekano wake ni kwamba ni msitu unaotunzwa vizuri kwa manufaa fulani ya kibiashara........
Huku nakutana na msosi huu mtamu kwa kila mtu japo kwa gharama ya kitalii
mwishowe ni kurudi ufukweni - kunduchi baada ya kujifunza mengi kuhusiana na kisiwa hiki chenye historia kemkem za kuvutia na kujifunza ...........