November 08, 2015

January 11, 2015

MKAKA STUDIOS..... commited to super quality & progressive brands 4 the demand

We are there to give  u the super quality & progressive products that will always meet your need
 meet our quality at any time when you are having any need of our products... visit us officially
 We aim at continuity and tired less super brands  

karibu sana

i lov my children


HALO FRIENDS ..........

Hi guys
Now chat with me in watsap direct in
0786 555 460
0714 422 177
Mkaka studios

NAMKUMBUKA BABU YANGU - SHEIKH ABDALLAH MKAKA


leo nimemkumbuka Marehemu Babu yangu Mzee Abdallah sheikh - mkaka pichani juu enzi za uhai wake kijijni Kijongo wilaya ya Bukoba vijijini .
Hapo alikuwa anaomba dua ya kufunga hadhara ya sherehe kijijini hapo mwaka 1997
Babu alifariki dunia mwaka 1999 akiwa na umri wa miaka 109

July 29, 2014

Upendo kwa wanangu

With my children loved Hussein and Husna
I real love Them so much ....

July 28, 2014




HERI YA SIKU KUU YA EID EL FITRY

MKAKA STUDIOS
Tunawatakia watazamaji wetu wote wa blog hii Heri ya Siku kuu ya Eid El Firty
Wabillah tawfiq

October 11, 2013

NA RAIS MSTAAFU BENJAMINI W. MKAPA: "TUSOME TANZANIA"


Rais Mstaafu Mhe. Benjamini William Mkapa akiwasomea hadithi mbalimbali na kuwauliza maswali mbalimbali watoto ambao ni wanafunzi toka shule mbalimbali  katika viwanja vya Makao Makuu ya Maktaba ya Mkoa jijini Dar es Salaam tarehe 11 oktoba 2013

Ugumu wa maisha:


Picha chini:
Agustino Steven (8) na Rebeka Steven(7) wakichambua mchicha mboga ya kulia ugali kama walivyobahatika kukutwa na mwandishi wa habari hizi 
  

    
Agustino akaandaa ugali chap chap kama unavyo muona pichani
Ugali ukapakuliwa 
Wakala pamoja 
Kumbuka 
'ugumu wa maisha ni kipimo cha akili'
kwa hisani ya; mbeyayetu blog

BEACH HIYO


October 07, 2013

MWANANGU ANANAMBIA KUWA ANATAKA KUWA MWANAMITINDO KIDUNIA


Husna Yakubu  5 Years Old 

September 11, 2013

May 01, 2013

ZIARA YANGU KATIKA KISIWA CHA MBUDYA KUNDUCHI DAR ES SALAAM

 Mandhari ya ufukwe kundhuchi beach hotel jijini Dar es salaam



Wapiganaji juu na chini katika [icha hizi, wakihangaika na maisha ya uvuvi kutafuta riziki ndani ya bahari ya hindi umbali kidogo kutoka hotel ya kunduchi

 kisiwa cha mbudya kinavyoonekana ukiwa umbali fulani kabla ya kukifikia
 msitu huu wa kuvutia
Boti ikiwa imetiwa nanga  kando ya kisiwa hicho
                                      Wavuvi wakiwa ndani ya mashua hii kama walivyoonekana kwa mapozi yao
                                      Mandhali ya vijumba vya asili na kitalii vikionekana kuvutia


 Hapa nakutana na wadau wakiwa na samaki huyu jamii ya star fish
Msitu wa kutosha uko huku ingawa muonekano wake ni kwamba ni msitu unaotunzwa vizuri kwa manufaa fulani ya kibiashara........
 Huku nakutana na msosi huu mtamu kwa kila mtu japo kwa gharama ya kitalii


mwishowe ni kurudi ufukweni - kunduchi baada ya kujifunza mengi kuhusiana na kisiwa hiki chenye historia kemkem za kuvutia na kujifunza ...........