Kundi la MRC waendelea kutafutwa na Polisi Nchini Kenya
Jeshi la Polisi nchini Kenya linaendelea msako wa kuwakamata watu mbalimbali ambao wanahusishwa na mtandao wa vuguvugu la ukombozi katika eneo la Pwani ya nchi hiyo almaarufu -Mombasa Republican Council [ MRC ].