October 04, 2012

REDD'S MISS TANZANIA 2012 NANI KUIBUKA KIDEDEA?





Warembo wanaoshiriki kambi ya kumsaka mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika picha ya pozi walipotembelewa na waandishi wa habari mapema leo katika kambi yao iliyopo katika Hoteli ya Giraffe Jijini Dar Es Salaam. Shidano la Redd's Miss Tanzania 2012 litafanyika tarehe 03 Nov. 2012, Blue Pearl Hotel, Ubungo Plaza, Dar Es Salaam. Mpenzi wa mambo haya kaa tayari.