Umati wa watu wakiwa wamekusanyika mbele ya jengo lililoshambuliwa na mlipuko wa bomu leo tarehe 26 Oktoba 2012 na kusababiha vifo vya watu watano [ 5 ] na wengine zaidi ya watu 30 kujeruhiwa vibaya. Shambulio hilo limetokea katika wilaya ya Daf al Shok Mjini Damascus,Syria.