Na Daniel Mbega, Iringa
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Nchini, Deus Kibamba, amesema wakati ndio utakaoeleza ukweli kuhusu idadi halisi ya Watanzania watakaoshiriki kutoa maoni ya mabadiliko ya Katiba kama inawiana ama inakidhi matakwa ya wananchi wote ama la.
Akifafanua kuhusu kauli ya Jukwaa hilo kwamba ni ndoto kuipata Katiba mpya mwaka 2014 ambayo
Read the full story »