November 01, 2012

Mwanafunzi STD III Ajinyonga kwa Kamba za Viatu Vyake


Mwili wa Mwanafunzi wa darasa la tatu, Shule ya Msingi Iwambi, Jijini Mbeya Kervin Patrick (8) jinsia ya kiume, ukiwa umefunikwa baada ya kufariki dunia kutokana na kujinyonga kwa kutumia kamba ya viatu vyake katika bomba ya maji nje ya nyumba yao.