November 01, 2012

Ulinzi wa kutosha kesi ya Sheikh Ponda mahakamani kisutu


  Katibu wa Taasisi za Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda akiwa chin ya ulinzi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Sheikh Ponda anakabiliwa na kosa la kuvamia kiwanja.
 Polisi wakiwa wameimarisha ulinzi nje ya jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo wakati Katibu wa Taasisi za Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda alipofikishwa mahakamani
 Baadhi ya watu wakikaguliwa kabla ya kuingia katika Mahakama ya Kisutu leo
 Mahojiano yalifanyika kwa kila mtu aliyekuwa akiingai mahakamani leo