Aidha imeelezwa kuwa marubani wote wawili waliokuwamo katika ndege hiyo bila abiria yeyote wote wamesalimika na ndege hiyo imeharibika vibaya huku Propela zake zote zikiwa zimekunjamana.
Marubani hao waliamua kutua katika uwanja huo kwa dharula baada ya ndege hiyo kukata mawasiliano hewani ghafla na kushindwa kutoa matairi yake ili kutua salama.
Pichani ni moja ya ndege za kampuni hiyo.