Rais Jakaya Kikwete Atunuku Nishani 40 Ikulu Jijini Dar es Salaam Wakati wa Sherehe za miaka 51 ya Uhuru Yumo Bi Kidunde na Mzee Muhidini Ngurumo
Bi. Kidude akivishwa nishani na Rais Jakaya Kikwete Ikulu leo
Rais jakaya Kikwete akimvisha nishani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue leo ikulu Jijini Dar es Salaam.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana ametunuku nishani kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani leo ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis(Bi.Kidude).Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi wa umma na askari Jeshi na Polisi.
Picha na IKULU