Michezo yetu ndiyo kama unavyotuona tukiwa school !

Ona jinsi watoto wakiwa katika michezo mbalimbali shuleni hapo.
Hapa dogo katulia dirishani mwa darasa lake huku akipata embe kwa raha zake

Wengine wakining'inia madirishani, wengine wanachora ukuta,.. ni furaha tu shuleni hapo!
